Jana Kamati ya Utendaji ya Yanga chini ya Rais Injinia Hersi Said ilikutana katika kikao cha kikatiba kwa mwaka 2023 katika Hoteli ya Serena jijini Dar es salaam
Kikao hicho kilikuwa maalum kujadilia masuala ya maendeleo ya klabu na mipango kuelekea Mkutano Mkuu wa Wanachama ambao utafanyika Jumamosi ijayo, Juni 24 jijini Dar es salaam




ADVERTISE HERE