Wanachama Yanga wakumbusha kulipa Ada

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
19 Jun 2023
Wanachama Yanga wakumbusha kulipa Ada

Uongozi wa klabu ya Yanga umewakumbusha Wanachama na Mashabiki wake kulipia ada ya uanachama

Mkutano Mkuu wa mwaka wa Mwanachama wa Yanga utafanyika Jumamosi ya wiki hii, sharti ya mwakilishi kuweza kushiriki lazima awe amelipa ada ya uanachama

Kulingana na Katiba ya Yanga ya mwaka 2021, pamoja na sababu nyingine kama kujiuzulu, kufariki, au kufukuzwa kwa mujibu wa katiba, Uanachama unaweza kukoma kama Mwanachama hatalipa ada yake katika kipindi cha miezi sita

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
9h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
13h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
14h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
18h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
18h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
19h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’