Ulikuwa wakati mzuri kuitumikia Yanga - Ambundo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
21 Jun 2023
Ulikuwa wakati mzuri kuitumikia Yanga - Ambundo

Winga Dickson Ambundo ametoa shukrani kwa viongozi wa Yanga kwa kumpatia nafasi ya kuitumikia Yanga

Ambundo anaondoka Yanga baada ya mkataba wake wa miaka miwili kufikia tamati. Amesema alifurahia maisha ya kuwa Wanayanga, kuagana na Wananchi wenzake ni jambo linalompa huzuni

"Moja kati ya nyumba bora sana, nyumba yenye upendo, furaha, matumaini na umoja wa hali ya juu, nyumba ya mafunzo yanayo toa mwanga mzuri kwenye safari ya maisha"

"Kwa huzuni leo nawaaga wenzangu kwenye nyumba lakini moyo wangu umejawa na shukran za dhati kabisa kwa wenye nyumba kuanzia Uongozi bora kabisa chini ya Rais Injinia Hersi Said benchi la ufundi chini ya Nasreddine Nabi, wachezaji wenzangu na wananchi wote kwa ujumla"

"Mungu aendelee kuwabariki kuleta mafanikio zaidi katika safari yenu. Siku moja tutaonana tena nyumbani. Daima Mbele, nyuma Mwiko," aliandika Ambundo kwenye ukurasa wake wa mtandao wa kijamii

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
4h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
8h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
13h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
13h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
16h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’