Kiungo wa Yanga Khalid Aucho jana alikabidhiwa tuzo ya mchezaji bora wa Uganda kwa msimu wa 2022/23
Aucho ameshinda tuzo hiyo kwa misimu miwili mfululizo, akiwa pia mshindi katika msimu wa 2021/22
Kiwango bora anachoonyesha akiwa na klabu ya Yanga imekuwa chachu kwake kushinda tuzo hizo
Katika misimu miwili aliyoitumikia Yanga, Aucho amekuwa sehemu ya mafanikio ya kushinda mataji yote ya ndani na kufika fainali ya kombe la Shirikisho barani Afrika

ADVERTISE HERE