Klabu ya Yanga imetangaza kuachana na winga Bernard Morrison ambaye mkataba wake umemalizika
Morrison alijiunga na Yanga msimu uliopita akisaini mkataba wa mwaka mmoja
"Tunamshukuru Morrison kwa mchango wake katika kipindi chote alichokuwa nasi na tunamtakia kila la kheri katika maisha yake mapya nje ya Yanga," ilisema taarifa ya Yanga

ADVERTISE HERE