Klabu ya Yanga leo imeonyesha picha na michoro ya uwanja ambao utajengwa katika eneo la uwanja wa zamani, Kaunda
Rais wa Yanga Injinia Hersi Said amesema wamedhamiria kukamilisha ujenzi wa uwanja huo kabla ya muda wao wa uongozi kukamilika



ADVERTISE HERE