Hapa hapa Avic maandalizi yanafanyika

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
4 Jul 2023
Hapa hapa Avic maandalizi yanafanyika

Katika jambo ambalo viongozi wa Yanga wamefanikiwa sasa ni kuachana na ile kasumba iliyozoeleka kuwa pre-season lazima ifanyike nje ya nchi

Baada ya changamoto walizokutana nazo Morocco mwaka juzi, msimu uliopita Yanga ikaamua kuweka kambi Avic Town

Kambi hiyo ilikuwa na mafanikio makubwa kwani Wananchi walifanikiwa kutetea mataji yote ya ndani pamoja na kucheza fainali ya kombe la Shirikisho barani Afrika

Julai 10 wachezaji wa Yanga wanatarajiwa kuripoti Avic Town kukiwa na uwezekano mkubwa kuwa msimu huu pia kambi itakuwa hapo

Afisa Habari wa Yanga Ali Kamwe amesema uamuzi wa wapi wataweka kambi watautangaza baada ya wachezaji na kocha kuwasili

Ndani ya Avic Town kuna kila kitu ambacho timu ya mpira wa miguu inahitaji kwa ajili ya maandalizi

Ni hapo Avic Town Yanga imefanya maandalizi yake na kufanikiwa kushinda mataji sita katika misimu miwili

Kwa sasa kwenda kuweka kambi nje ya nchi sio sifa tena

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
8h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
12h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
13h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
17h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
18h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’