Shirikisho la mpira wa Miguu Tanzania TFF limemteua kocha Ammy Ninje kuwa Kocha wa muda wa Timu ya Taifa ya Vijana chini ya miaka 20 Ngorongoro Heroes.
Timu hiyo inatarajia kucheza michezo miwili ya kirafiki ya kimataifa dhidi ya Morocco na Msumbuji kabla ya kuwavaa DR Congo katika mchezo wa kuwania kufuzu Fainali za Mataifa ya Afrika kwa Vijana (AFCON U20.
Ninje aliiongoza timu ya Taifa ya Tanzania Bara, Kili Stars kwenye michuano ya Chalenji iliyofanyika nchini Kenya mwishoni mwa mwaka jana na kuondoshwa katika hatua ya awali.

ADVERTISE HERE