Jezi imezinduliwa Ikulu, famasiala nini

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
6 Jul 2023
Jezi imezinduliwa Ikulu, famasiala nini

Rekodi imeandikwa jana kwa Yanga kuzindua jezi Ikulu ya Malawi mbele ya Marais wawili, Lazarus Chakwera wa Malawi na Dk Samia Suluhu Hassan wa Tanzania

Huu uzi utaingia kwenye rekodi ya mauzo sio kwa Tanzania tu, Afrika nzima na hata dunia

Baada ya kuzinduliwa tu, Wananchi wamekesha madukani kila mmoja akitaka kuwa wa kwanza kuvaa uzi wa msimu mpya

Kwa jijini Dar es salaam jezi zinapatikana katika maduka yote ya GSM, duka la Yanga (Jangwani) na Vunjabei. Bei ya rejareja ni Tsh 40,000/- tu

Jezi zinapatikana katika maeneo mengi kwani usambazi wake ulianza mapema

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
2h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
3h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
3h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
6h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
21h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
22h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’