Kiungo fundi wa Asec Mimosas Mohammed Zougrana leo ameiaga timu hiyo kupitia ukurasa wake wa mtandao wa kijamii
Zougrana fundi anayevaa jezi namba sita mgongoni, ni suala la muda kufahamu kituo chake kinachofuata
Afisa Habari wa Yanga Ali Kamwe ni miongoni mwa walio 'like' post ya Zougrana
Kamwe ana jambo lake na jezi namba sita!, sasa tusubiri...!

ADVERTISE HERE