Leo Yanga inatararajiwa kuanza kuachia taarifa kuhusu masuala ya usajili na maboresho ya kikosi kuelekea msimu wa mashindano 2023/24
Kaa karibu na App ya Yanga na kurasa rasmi za mitandao ya kijamii kwani vyuma vinaanza kuachiwa leo
Yale maswali mengi kuhusu usajili na maboresho mengine katika benchi la ufundi majibu yake yataanza kupatikana saa 12 jioni ya leo
Ule muda wa kuipa nchi furaha sasa umewadia....!
ADVERTISE HERE