Maxi huyu hapa, tabu iko palepale

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
14 Jul 2023
Maxi huyu hapa, tabu iko palepale

Usiku wa kuamkia leo Yanga ilitambulisha usajili wake wa nne katika dirisha hili la usajili

Sio mwingine ni kiungo mshambuliaji Maxi Mpia Nzengeli kutoka klabu ya AS Maniema Union ya DR Congo

Maxi ametua Yanga kwa mkataba wa miaka miwili kuwatumikia mabingwa hao wa Tanzania Bara

Usajili wake ni mahsusi kuziba nafasi ya Tuisila Kisinda ambaye amerejea RS Berkane baada ya mkataba wake wa mkopo wa mwaka mmoja kumalizika

Huko DR Congo Maxi (23) wanamuita 'Mbappe' kutokana na kasi na umahiri wake wa kuwatoka mabeki

Maxi anamudu kucheza nafasi zote za winga na hata kutumika kama namba 10

Huyu alikuwa nahodha wa AS Maniema Union na amecheza timu ya Taifa ya DR Congo kwa wachezaji wa ndani (CHAN)

Winga Maxi, winga Jesus Moloko tabu iko palepale...!

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
11h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
15h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
19h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
20h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
20h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’