Maandalizi yanaendelea Gaborone

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
16 Mar 2018
Maandalizi yanaendelea Gaborone
Kikosi cha Yanga kimeendelea na mazoezi jijini Gaborone, Botswana kikijiandaa na mchezo wa marudiano Ligi ya mabingwa dhidi ya wenyeji wao Township Rollers.

Yanga imewasili Botswana tangu juzi Jumanne, leo imeingia siku ya pili ikijifua tayari kwa mchezo huo utakaopigwa Jumamosi March 17, saa 10:45 jioni kwa saa za Afrika Mashariki.

Yanga inahitaji ushindi wa angalau mabao 2-0 ili iweze kufuzu hatua ya makundi baada ya kuchapwa mabao 2-1 katika mchezo wa kwanza uliopigwa kwenye uwanja wa Taifa March 07.

Kocha Mkuu wa Yanga George Lwandamina amesema ana matumaini makubwa ya kuibuka na ushindi katika mchezo huo ambao ameweka wazi kuwa atacheza mfumo wa kushambulia muda wote.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
5h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
9h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
13h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
14h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
17h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’