Aliyekuwa kocha wa Yanga Nasreddine Nabi amejiunga na AS FAR ya Morocco kuwa Kocha Mkuu wa timu hiyo
AS FAR ambao ni mabingwa wa Ligi Kuu ya Morocco, wamemtangaza Nabi kuwa kocha wao Mkuu leo akisaini mkataba wa miaka miwili

Kila la kheri profesa wa mpira...!
ADVERTISE HERE