Yanga kamili kuikabili Township Rollers

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
17 Mar 2018
Yanga kamili kuikabili Township Rollers
Kikosi cha Yanga leo Ijumaa jioni kimefanya mazoezi ya mwisho kwenye uwanja wa Taifa wa Botswana, uwanja ambao utapigwa mchezo dhidi ya Township Rollers kesho Jumamosi.

Wakiwa chini ya kocha George Lwandamina, wachezaji wa Yanga wamejifua kikamilifu kuelekea mchezo huo ambao wanalazimika kushinda kwa angalau mabao 2-0





Mchezo huo wa marudiano utapigwa kesho Jumamosi saa 10:45 kwa saa za Afrika Mashariki na utarushwa mubashara na kituo cha televisheni cha Azam
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
8h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
8h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
12h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
12h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
17h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
17h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’