Mashabiki wa soka Afrika Kusini watapata fursa ya kushuhudia mtanange wa kilele cha Wiki ya Mwananchi kati ya Yanga dhidi ya Kaizer Chiefs
Ni baada ya DSTV kupewa haki za kurusha mchezo huo nchini Afrika Kusini. Baada ya mazungumzo kati ya Yanga na Azam Media, ombi la DSTV kupewa haki za kuonyesha mchezo huo limeridhiwa

ADVERTISE HERE