Hii Yanga hii, tabu iko palepale

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
23 Jul 2023
Hii Yanga hii, tabu iko palepale

Mchezo dhidi ya Kaizer Chiefs ni kionjo tu cha burudani ambayo Wananchi watarajie kuipata kutoka kwa timu yao msimu huu

Kulikuwa na vurugu na tambo nyingi kwa baadhi ya timu, nafikiri hiki ndio kipindi chao cha kufurahi, kuhusu mataji wasahau

Yanga imesajili wachezaji sio majina ya wachezaji, dakika 90 za mchezo dhidi ya Kaizer Chiefs zimetoa picha

Nyota wote waliosajiliwa wameonesha watakuwa na mchango chanya msimu ujao

Usajili wa Yanga haukuwa na mbwmbwe nyingi, thamani ya usajili huo imeanza kuonekana uwanjani

Nickson Kibabage, Jonas Mkude 'Casemiro', Maxi Nzengeli, Skudo, Yao, Gift waliteka shoo katika dakika 45 walizocheza

Ikumbukwe wachezaji wamefanya mazoezi wiki moja tu na Kocha Miguel Gamondi, sijui itakuwaje pale timu itakapokuwa tayari kwa asilimia 100

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
9h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
13h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
13h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
18h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
18h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
18h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’