Baada ya ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Kaizer Chiefs katika mchezo wa kilele cha wiki ya Mwananchi, kikosi cha Yanga leo kimerejea mazoezini
Mkufunzi wa Yanga Miguel Gamondi leo amewapeleka vijana wake Gym kuimarisha misuli










ADVERTISE HERE