Droo Ligi ya Mabingwa ni leo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
25 Jul 2023
Droo Ligi ya Mabingwa ni leo

Droo ya mechi za hatua ya awali na raundi ya kwanza michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika inafanyika leo huko Misri

Ni majira saa 9 Alasiri droo ya ligi ya mabingwa itafanyika, Yanga ikiwa miongoni mwa timu 54 zitakazoshiriki ligi ya mabingwa

Mechi za raundi ya awali zitapigwa mwishoni mwa August 2023 wakati mechi za raundi ya kwanza zitapigwa mwishoni mwa Septemba 2023

Katika hatua ya awali Yanga inatarajiwa kuanzia ugenini na kumalizia nyumbani

Kutokana na mabadiliko yaliyofanywa na CAF msimu huu, hakutakuwa na nafasi kwa timu zitazotolewa raundi ya kwanza ya ligi ya mabingwa kucheza Shirikisho

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
1h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
5h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
5h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
8h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
17h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
22h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’