Saa 10:45 jioni Yanga itashuka kwenye uwanja wa Taifa wa Botswana kuikabili Township Rollers katika mchezo wa marudiano ligi ya mabingwa barani Afrika.
Mchezo huo una umuhimu wa aina yake kwa kuwa mshindi wa jumla atatinga hatua ya makundi ya michuano hiyo mikubwa kabisa barani Afrika na atajinyakulia kitita cha zaidi ya Bil 1.2 kutoka kwa CAF.
Mchezo huo ambao Yanga inahitaji kushinda kwa mabao 2-0 utarushwa mubashara na kituo cha runinga cha Azam kupitia chaneli yao ya Azam Sport 2.
Kila la kheri Yanga, kila la kheri timu ya Wananchi

ADVERTISE HERE