Ni rasmi aliyekuwa mshambuliaji wa Yanga Fiston Mayele, amejiunga na klabu ya Pyramids Fc ya Misri
Pyramids wamemtambulisha Mayele kuwa mshambuliaji wao baada ya kukamilisha usajili wake kutoka Yanga
Ilikuwa misimu miwili bora kwa Mayele na klabu ya Yanga, usajili wake kwenda Pyramids umekuwa na faida kwa kila upande (Yanga na Mayele)
Wananchi tunamtakia kila la kheri katika klabu yake mpya

ADVERTISE HERE