Dirisha la usajili CAF kufungwa leo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
31 Jul 2023
Dirisha la usajili CAF kufungwa leo

Dirisha la usajili la Shirikisho la soka barani Afrika (CAF) kwa michuano ya ligi ya mabingwa na kombe la Shirikisho linafungwa leo

Yanga tayari imekamilisha usajili wake wa msimu huu ikiongeza wachezaji nane wapya

Kulingana na taarifa ya TFF, Yanga imesajili wachezaji 27 kwa ajili ya Ligi ya Mabingwa barani Afrika. Kila timu inaruhusiwa kusajili hadi wachezaji 40

Awamu ya pili ya dirisha hilo litafunguliwa tena kabla ya kuanza kwa hatua ya makundi ambapo kwa timu ambazo hazikukamilisha wachezaji 40 katika awamu ya kwanza, zinaweza kusajili tena

Ni wazi Yanga haitajaza nafasi zote 40, itakuwa na nafasi ya kuongeza wachezaji katika usajili wa awamu pili endapo itafanikiwa kutinga hatua ya makundi ya ligi ya mabingwa

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
7h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
10h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
15h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
15h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
19h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’