Matokeo ya nyumbani yametuponza - Nadir

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
18 Mar 2018
Matokeo ya nyumbani yametuponza - Nadir
Nahodha wa Yanga Nadir Haroub 'Cannavaro' amesema walikuwa na nafasi ya kutinga hatua ya makundi ya michuano ya ligi ya mabingwa kama wangepata ushindi kwenye mchezo wa nyumbani dhidi ya Township Rollers.

Yanga ilifungwa mabao 2-1 kwenye mchezo wa kwanza uliopigwa kwenye uwanja wa Taifa March 07 lakini leo imeweza kuwalazimisha Rollers suluhu ya 0-0 kwenye uwanja wao wa nyumbani.

"Leo tumecheza vizuri, vijana wamepambana tangu dakika ya kwanza, lakini matokeo ya mchezo wa kwanza ndio yametukwamisha."

"Ni muhimu kupata ushindi unapokuwa unacheza kwenye uwanja wako wa nyumbani hasa katika michuano mikubwa kama hii."

"Jambo lolote linaweza kutokea unapokuwa ugenini. Tumetoka, lakini sasa tunajipanga kuhakikisha tunafanya vizuri kwenye michuano ya kombe la Shirikisho," amesema Nadir
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
1h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
6h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
7h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
7h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
10h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’