Aliyekuwa mlinda lango wa Yanga Erick Johora amejiunga na wachimba dhahabu wa Geita Gold
Johora ameondoka Yanga baada ya mkataba wake wa miaka miwili kumalizika nafasi yake ikichukuliwa na Metacha Mnata
Yanga ilimsajili kutoka klabu ya Aigle Noir ya Burundi
Hakuwa na wakati mzuri mbele ya Djigui Diarra na Aboutwalib Mshery kabla ya ujio wa Metacha
Wananchi tunamtakia kila la kheri katika klabu yake mpya
ADVERTISE HERE