Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Mh Albert Chalamila leo atakuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa Documentary ya Yanga itakayofanyika Dar Free Market
Shamra shamra za uzinduzi huo zinatarajiwa kuanza saa 2 usiku na Azam TV wataonyesha 'mbashara' tukio zima
Yanga imejipambanua kwa kuwa klabu ya kwanza nchini Tanzania kutengeneza Documentary yake baada ya mafanikio makubwa kwenye msimu uliopita

ADVERTISE HERE