Yanga tayari kwa Ngao ya Jamii

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
7 Aug 2023
Yanga tayari kwa Ngao ya Jamii

Kikosi cha Yanga leo kinaelekea mkoani Tanga kushiriki michuano maalum ya Ngao ya Jamii

Yanga ambao ni mabingwa watetezi kwa misimu miwili mfululizo, baada ya mabadiliko yaliyofanywa na TFF, kwa mara ya kwanza michuano hiyo inashirikisha timu nne

Keshokutwa Jumatano, August 09, Yanga itashuka uwanja wa Mkwakwani kupepetana na Azam Fc katika mchezo utakaopigwa saa 1 usiku

Mara mwisho Yanga na Azam Fc kuchuana Mkwakwani ni msimu uliopita katika mchezo wa fainali ya kombe la Shirikisho la Azam (ASFC) Yanga ikiibuka mabingwa kwa ushindi wa bao 1-0

Michuano hiyo itakamilika August 13 kwa michezo ya fainali na mshindi wa tatu

Baada ya kambi ya maandalizi ya wiki tatu Avic Town, Yanga iko tayari kutetea Ngao hiyo kwa mara ya tatu

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
7h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
8h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
11h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
12h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
16h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
17h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’