Anaandika Mwanachama wa Yanga, Jimmy Kindoki;
Yanga tumevizidi vilabu vyote hapa nchini kwenye maeneo matatu ambayo ni;
- Ubora wa timu uwanjani
- Jicho la kibiashara
- Uongozi wa mpira wa miguu
Kilichofanyika jana (Uzinduzi wa documentary) ni bao lingine kwa wapinzani ambao mpaka sasa hawajaweza kuwa na uongozi imara Wala kuwa na jicho la kibiashara huku uwanjani ndo wameanza kujitafuta
Kwa mantiki hiyo Yanga anatangulizwa kama timu kiongozi ambayo inapaswa kuweka msingi mzuri wa maendeleo ya mpira wa miguu kwa nchi hii lakini pia bila kusahau inaisaidia serikali pamoja na sekta binafsi katika kukuza pato la taifa
Nani mwingine anaeweza kuyafanya yote haya? Jibu ni hakuna isipokuwa ni Yanga mwenyewe
ADVERTISE HERE