Kikosi cha Yanga leo kinakamilisha maandalizi ya mwisho kuelekea mchezo wa nusu fainali Ngao ya Jamii dhidi ya Azam Fc
Mchezo huo utapigwa kesho Jumatano, August 09 katika uwanja wa Mkwakwani
Yanga iliwasili Tanga jana ikiwa na wachezaji wake wote mkakati ukiwa kutetea Ngao hiyo ambayo Wananchi wameishikilia kwa misimu miwili mfululizo







ADVERTISE HERE