Wachezaji wa Yanga leo walipata nafasi kutembelea uwanja wa Mkwakwani ambao mchezo wa nusu fainali dhidi ya Azam Fc utapigwa hapo kesho
Dimba la Mkwakwani limefanyiwa maboresho makubwa, sasa linaonekana kuwa tayari kwa mechi za Ngao ya Jamii








ADVERTISE HERE