Yanga imetinga fainali ya Ngao ya Jamii kibabe kwa ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Azam Fc katika mchezo wa nusu fainali uliopigwa uwanja wa Mkwakwani
Yanga ilihitaji dakika 45 za kipindi cha pili kumaliza mchezo kwa mabao mawili yaliyofungwa na Stephane Aziz Ki na Clement Mzize
Ilikuwa mechi ya upande mmoja katika kipindi cha pili Yanga ikifanya 'sako la nyani' langoni kwa Azam Fc
Pengine Azam Fc washukuru wamefungwa mabao mawili tu kwani ni mechi ambayo wangeweza kuondoka na mzigo wa mabao
Hii Yanga hii, ni balaa! Hao wapiga kelele wasijivunje tu, waje waje fainaliiiiii..!




ADVERTISE HERE