Mapema leo Mjumbe wa Kamati ya utendaji ya Yanga Mh. Seif Gulamali, Mtendaji Mkuu Andre Mtine pamoja na baadhi ya wachezaji, walitembelea kituo cha kuletea watoto wenye uhitaji Abu-Abdul Rahman kilichopo Tanga mjini na kuwapatia mahitaji mbalimbali






ADVERTISE HERE