Kikosi cha Yanga kimekamilisha maandalizi kuelekea mchezo wa hatua ya awali ligi ya mabingwa barani Afrika dhidi ya ASAS Fc
Mchezo huo utapigwa kesho Jumapili, August 20 katika uwanja wa Azam Complex, saa 11 jioni

ADVERTISE HERE