Klabu ya Yanga imeomboleza kifo cha aliyewahi kuwa kocha wake Mkuu Sam Timbe raia wa Uganda
Timbe atakumbukwa na Wanayanga kwa kuiongoza timu kubeba Ubingwa wa Afrika Mashariki na Kati (CECAFA) Mwaka 2011
Timbe alikuwa Kocha Mkuu wa URA, amefariki dunia leo wakati akikimbizwa hospitalini kwa ajili ya matibabu

Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi. Amen
ADVERTISE HERE