Klabu ya Yanga imeachana rasmi na aliyekuwa mlinzi wake wa kulia Djuma Shabani 'Soldier ya Bemba'
Djuma amekabidhiwa barua yake na Yanga baada ya makubaliano ya pande mbili
Ni rasmi sasa Mcongomani huyo ni mchezaji huru ruksa kujiunga na timu yoyote
Djuma alijiunga na Yanga misimu miwili iliyopita akitokea klabu ya AS Vita
Alikuwa sehemu ya kikosi cha Yanga kilichoshinda mataji sita katika msimu miwili iliyopita
Yanga imesitisha mkataba wake wa mwaka mmoja uliokuwa umebaki kwa kuwa hayuko kwenye mipango ya kocha Miguel Gamondi
ADVERTISE HERE