Yanga kuanza mawindo ya El Merrikh

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
•
31 Aug 2023
Yanga kuanza mawindo ya El Merrikh

Baada ya ushindi wa mabao  5-0 dhidi ya JKT Tanzania katika mchezo wa ligi kuu ya NBC uliopigwa uwanja wa Azam Complex juzi, kikosi cha Yanga leo kinarejea mazoezini kuanza mawindo ya mchezo wa kuwania tiketi ya kutinga hatua ya makundi ligi ya mabingwa barani Afrika dhidi ya El Merrikh ya Sudan

Yanga itakuwa ugenini kwenye mchezo huo wa mkondo wa kwanza ambao huenda ukapigwa nchini Morocco baada ya El Merrikh kuwasilisha maombi CAF ya mabadiliko ya uwanja wao wa nyumbani ambapo mchezo wao wa hatua ya awali walichezea nchini Rwanda

Kocha Mkuu wa Yanga Miguel Gamondi atawakosa wachezaji wake 11 ambao wamekwenda kwenye majukumu ya timu za Taifa

Katika program zake za mazoezi, Gamondi anatarajiwa kuwajumuisha baadhi ya wachezaji kutoka timu ya vijana U20

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
9h ago
READ MORE →
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
9h ago
READ MORE →
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
13h ago
READ MORE →
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
13h ago
READ MORE →
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
18h ago
READ MORE →
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
18h ago
READ MORE →
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
18h ago
READ MORE →
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE →
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE →
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE →