Yanga imetoa fursa kwa mashabiki wake kusafiri na timu Rwanda kwenye mchezo wa mkondo wa kwanza kuwania tiketi ya kutinga hatua ya makundi ligi ya mabingwa barani Afrika dhidi ya El Merrikh
Msafara unatarajiwa kuondoka Tanzania Alhamisi, Septemba 14 saa 11 jioni na kurejea Tanzania baada ya mchezo utakaopigwa Septemba 16. Gharama ya safari (kwenda na kurudi) ni Tsh 150,000/-
Yanga imepania kwenda Rwanda kuweka rekodi ya kuijaza Pele Kigali Stadium unochukua mashabiki 22,000

ADVERTISE HERE