Wiki hii ni ya kazi kwa wachezaji wa Yanga kuhakikisha wanakuwa tayari kwa mchezo wa mkondo wa kwanza kuwania tiketi ya kutinga hatua ya makundi michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika dhidi ya Al Merrikh
Kocha Mkuu wa Yanga Miguel Gamondi leo amewapelekea wachezaji wake Gym ikiwa ni mfululizo wa mazoezi ya kutengeneza 'fitness'








ADVERTISE HERE