Skudu kupewa kazi maalum Rwanda

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
8 Sep 2023
Skudu kupewa kazi maalum Rwanda

Kocha Mkuu wa Yanga Miguel Gamondi amesema winga raia wa Afrika Kusini Skudu Makudubela yuko fit na huenda akawa miongoni mwa wachezaji atakaowatumia kwenye mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya Al Merrikh utakaopigwa Jumamosi, Septemba 16

Skudu alirejea mazoezini wiki iliyopita baada ya kuwa nje kwa wiki mbili akiuguza majeraha ya goti

Gamondi amesema Skudu atakuwa silaha muhimu katika mchezo dhidi ya Al Merrikh kwani ni mchezaji ambaye wapinzani wake hawamfahamu vizuri

"Nafurahi Skudu yuko vizuri sasa, ameshiriki mazoezi yote na wachezaji wenzake. Nafikiri atakuwa mchezaji muhimu katika mchezo dhidi ya Al Merikh"

"Ni miongoni mwa wachezaji ninaopanga kuwatumia Rwanda, ni mchezaji ambaye wapinzani wetu hawamfahamu vizuri kwani hawajamuona akitumika katika timu yetu," alisema Gamondi

Yanga inatarajiwa kucheza mechi ya kirafiki mwishoni mwa wiki hii kabla ya kuifuata Al Merrikh nchini Rwanda wiki ijayo

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
6h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
10h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
15h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
16h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’