Kikosi cha Yanga kinaendelea na mazoezi makali Avic Town kujiandaa na mchezo dhidi ya Al Merrikh ya Sudan
Mchezo huo wa mkondo wa kwanza kuwania tiketi ya kutinga hatua ya makundi ligi ya mabingwa barani Afrika, utapigwa Jumamosi, Septemba 16 huko Rwanda










ADVERTISE HERE