Kikosi cha Yanga jioni hii kimekamilisha maandalizi kuelekea mchezo wa ligi kuu dhidi ya Namungo Fc
Mchezo huo wa raundi ya tatu, utapigwa kesho Jumatano katika uwanja wa Azam Complex
Itakuwa mechi maalum kuwapa heshima mashabiki waliosafiri nchini Rwanda kuiunga mkono Yanga katika mchezo ligi ya mabingwa dhidi ya Al Merrikh






ADVERTISE HERE