Maandalizi ya kutinga makundi CAF CL

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
21 Sep 2023
Maandalizi ya kutinga makundi CAF CL

Baada ya ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Namungo Fc jana, Wananchi hawana muda wa kupoteza kwani leo kikosi kimerudi mazoezini kuanza maandalizi ya mchezo wa marudiano ligi ya mabingwa barani Afrika dhidi ya Al Merrikh

Mchezo huo wa mkondo wa pili utapigwa Septemba 30 katika uwanja wa Azam Complex

Kocha Mkuu wa Yanga Miguel Gamondi leo amewarudisha vijana wake Gym kutengeneza uimara wa mwili

Yanga inahitaji ushindi au matokeo yoyote ya sare ili kutinga hatua ya makundi

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
6h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
10h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
14h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
15h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
18h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’