Takwimu za Mudathir Ligi Kuu zinatisha

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
23 Sep 2023
Takwimu za Mudathir Ligi Kuu zinatisha

Kiungo wa Yanga Mudathir Yahya ndiye mchezaji anayeongoza kugusa mpira mara nyingi mpaka sasa baada ya michezo mitatu ya ligi kuu ya NBC

Mudathir amegusa mpira mara 176. Aidha Mudathir ndiye kinara wa kupiga pasi sahihi nyingi kuliko wachezaji wote mpaka sasa msimu huu

Amefanikiwa kupiga pasi sahihi 121 huku pasi 25 tu kati ya 146 alizopiga ndio hazijafika kwa usahihi

Pia Muda ndiye kinara wa kupiga Proggresive pass (Pasi za mbele) akiwa amepiga pasi hizo 61

Amepiga mashuti matano ambapo mawili yamelenga lango la wapinzani na matatu hayajalenga lango

Ametengeneza nafasi mbili na kupiga pasi muhimu mbili. kwenye michezo mitatu amefanikiwa kufunga mabao mawili kati ya mabao 11 ambayo yamefungwa na Yanga

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
2h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
6h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
6h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
6h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
16h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
17h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
20h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
1d ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’