Baada ya mapumziko ya mwishoni mwa wiki, kikosi cha Yanga kimerejea Avic Town kuendelea na maandalizi ya mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya Al Merrikh
Mchezo huo wa mkondo wa pili utapigwa Jumamosi, Septemba 30 katika uwanja wa Azam Complex






ADVERTISE HERE