Kikosi cha Yanga kimeendelea na mazoezi Avic Town kuelekea mchezo wa mkondo wa pili kuwania tiketi ya kutinga hatua ya makundi ligi ya mabingwa barani Afrika
Jumamosi, Septemba 30 Yanga itachuana na Al Merrikh katika mchezo utakaopigwa uwanja wa Azam Complex








ADVERTISE HERE