Zawadi ya jezi kwa Engineer

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
3 Oct 2023
Zawadi ya jezi kwa Engineer

Mapema leo, Rais wa Yanga Injinia Hersi Saidi alipokea zawadi ya jezi ya Timu ya Taifa Ya Ghana kutoka kwa mchezaji wa Yanga Princess Safiatu Salifu

Safiatu ni sehemu ya kikosi cha Timu ya Taifa ya Ghana kilichokuwa katika mashindano ya kimataifa hivi karibuni

Mlinda lango huyo ni mmoja wa wachezaji muhimu katika kikosi cha Yanga Princess akiwa mmoja wa nyota wachache wa kigeni waliobaki baada maboresho ya kikosi cha Yanga Princess

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
8h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
8h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
12h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
13h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
17h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
17h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’