Baada ya mchezo dhidi ya Ihefu Fc jana, kikosi cha Yanga kiliondoka mkoani Mbeya kurejea Dar es salaam
Yanga inaelekea mkoani Mwanza ambako wanakabiliwa na mchezo mwingine wa ligi kuu dhidi ya Geita Gold siku ya Jumamosi, Oktoba 07
Mchezo huo utapigwa uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza. Baada ya kupoteza mchezo dhidi ya Ihefu Fc, Yanga inahitaji kushinda mchezo unaofuata dhidi ya Geita Gold







ADVERTISE HERE