Kikosi cha Yanga kiliwasili jijini Mwanza usiku wa kuamkia leo kuelekea mchezo wa ligi kuu dhidi ya Geita Gold
Mtanange huo utapigwa kesho Jumamosi, Oktoba 07 katika uwanja wa CCM Kirumba
Jioni ya leo majira ya saa 10 Yanga itakamilisha maandalizi yake ya mwisho katika uwanja huo







ADVERTISE HERE