Droo ya hatua ya makundi michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika, inafanyika leo huko Johanesburg, Afrika Kusini saa 9 Alasiri
Yanga ni miongoni mwa timu ambazo leo zitafahamu makundi ambayo watapangwa huku kukiwa na nafasi ya kukutana na watani Simba katika makundi
Yanga iko katika Pot 3 pamoja na TP Mazembe, Asec Mimosas na Al Hilal kwa maana kuwa Yanga haitakutana na timu kutoka Pot 3 katika makundi lakini itapangwa na yeyote kutoka Pot 1, 2 na 4
Huu hapa mpangilio wa timu;




ADVERTISE HERE