Yanga inatarajiwa kuumana na Singida United Agosti 05, 2017 katika mchezo wa kujipima nguvu.
Kulingana na taarifa iliyotolewa leo na Afisa Habari wa Yanga Dismas Ten, mchezo huo utapigwa kwenye dimba la Taifa.
Yanga itacheza mchezo mwingine wa kirafiki Agosti 12, timu pinzani itafahamika baadae.
Katika hatua nyingine, Kocha George Lwandamina ametoa mapumziko ya siku mbili za wikiendi kwa wachezaji wake na watarejea tena jumatatu asubuhi kuendelea na mazoezi kwenye uwanja wa Uhuru,Dar es Salaam.

ADVERTISE HERE