Baada ya mapumziko ya siku chache, kikosi cha Yanga kimerejea mazoezini kujiandaa na mechi itakayofuata Ligi Kuu ya NBC baada ya kalenda ya FIFA
Oktoba 25 Yanga itamenyana na Azam Fc katika mchezo utakaopigwa uwanja wa Benjamin Mkapa
Wachezaji ambao hawana majukumu ya timu za Taifa wamerejea Avic Town kuendelea na maandalizi ya mchezo huo









ADVERTISE HERE